KATIBU TAWALA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAHAMA ERENEST MASANJA AKITOA HOTUBA KWA NIABA YA MKUU WA WILAYA BENSON MPESYA.
KAHAMA
Jumla ya watoto 7014
wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, hawakupata chanjo katika mwaka 2011 na 2012
hali iliyosababisha wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zinazoongoza kitaifa
kwa watoto kutopata chanjo.
Hayo yamebainishwa leo na
mkuu wa Wilaya hiyo Benson Mpesya katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na
katibu tawala wa halmashauri hiyo Ernest Masanja, katika ufunguzi wa wiki ya
Chanjo Afrika.
Katika sherhe hizo
zilizofanyika kiwilaya katika kijiji cha Kalagwa kata ya Ntobo wilayani humo, Mpesya amebainisha sababu iliyosababisha hali hiyo ni
uelewa mdogo wabwazazi kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto.
Awali akisoma Risala kwa kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Wilaya ya Kahama Dr.Hamad Nyambea amesema, idara ya afya Kahama imeweka mikakati ya kusogeza huduma ya chanjo kwa wananchi, kwa kutoa chanjo ya vikoba vijijini.
KAIMU MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAM DR HAMAD NYAMBEYA AKISOMA RISALA
Mpesya amewaasa wazazi
kuhakikisha ratiba ya chanjo kwa watoto inatekelezwa na kwa ukamilifu ili
kupunguza au kumaliza vifo vsivyo vya lazima kwa watoto.
Kauli mbiu ya Wiki ya chanjo
Afrika kwa mwaka huu ni “OKOA MAISHA,ZUIA ULEMAVU PATA CHANJO”
MATUKIO KATIKA PICHA
MSANII WA KIKUNDI CHA KMCT AKIENDELEA KUFANYA YAKE WAKATI AKISUBIRIWA MGENI RSMI.
KMCT KAZINI
VIJANA WA SUNGUSUNGU WAKIWA TAYARI KUMPOKEA MGENI RASMI.
HAPO SASA UZALENDO UKIKUSHINDA RUKSAA
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAHAMA AKIMPA ZAWADI MTOTO ALIYEKUWA AKICHEZA.
HAPO SASA
MGENI RASMI AKIWASILI KATIKA ENEO LA TUKIO
MGENI RASMI AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA KIJIJI HICHO.
WADADA WA KMCT WAKIWA KAZINI
DR HAMAD NYAMBEA AKIWA MAKINI KUTAZAMA SHOW YA KMCT
UTAJUTA KUWAJUWAAA WAKALI MBAYAAAAAAA
KATIBU TAWALA WA NTOBO AKIWASLIMIA WANANCHI WA KIJIJI HICHO
WAGENI WAKISALIMIA WNANCHI
AFISA KUTOKA HALMASHAURI YA MJI AKISALIMIA
DR NYAMBEA AKIFANYA UTAMBULISHO WA WAGENI TOKA WILAYANI
JAMAA ALIKUWA NA MZUKA HUYU.
KMCT WAKIWA KATIKA IGIZO
KINA MAMA WALIOHUDHURI AKATIKA UZINDUZI HUO
KMCT KAZINI
WATU WALIKUWA WENGI KWELI KWELI.
MUWAKILISHI WA MKURUGENZI WA WILYA AKITOA NENO
WAKUU WA IDARA WAKIWA MAKINI KATIKA UZINDUZI HUO.
SAFIII WATU WALIKUWA MAKINI SANA KUFUTILIA UZINDUZI HUO.
CAMERA YANGU ILIWABAMBA WATAALAMU HAWA KUMBE NAO WALIKUWEPO AISEE.
DR NYAMBEA AKIMUONGOZA MGENI RASMI KWENDA KUZINDUA CHANJO.
WAAUGUZI WAKIMSUBILI MGENI RASMI KUJA KUZINDUA CHANJO.
MGENI RASMI AKINAWA MIKONO ILI KUTOA CHANJO KAMA ISHARA YA KUZINDUA RASMI WIKI YA CHANJO.
AKIPATA MAELEKEZO TOKA KWA MUUGUZI
MGENI RASMI AKITOA CHANJO KWA MTOTO KAMA ISHARA YA UZINDUZI.
KISHA ALISAINI KATIKA DAFTARI LA CHANJO
HAPA AKIONGEA NA WAZEE WA NTOBO KABLA YA KUONDOKA ENO LA TUKIO
Source Kijukuu Blog.
No comments:
Post a Comment