Feb 18, 2013

KAMA ULIKUWA HUJUI HII NDIYO SCANDAL YA BENJAMIN
Ni moja kati ya wasanii wakongwe kwenye gemu ya muziki wa Bongo Fleva ambaye tangu alipoanza muziki miaka ya 90 na kuwa kwenye kiwango cha juu kilichomfanya kujenga heshima kwa mashabiki wa muziki huo bado ameendelea kulinda heshima yake hiyo na kwa kuthibitish ahilo huu ndiyo ujo wake mpya Enajoy

No comments: