Mwenye nguo ya pink ni mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akielekea kwenda kukabidhi zawadi kwa watoto yatima, zawadi zilizotolewa na CRDB BANK.
Nimejaribu kufikiria ni kitu
gani kiliwafanya CRDB BANK iwaze kufanya hiki ilichofanya lakini ukweli
ni kwamba wameamua hivyo sababu wao ni bank ya kila Mtanzania, nawapa salute kwa hii event waliyoifanya ya kuwashukuru
wakazi wa Njombe kwa kuliwezesha tawi la Benki ya CRDB Njombe kupata
mafanikio makubwa kibiashara katika mwaka 2012.
Hili tawi liliandaa zawadi kwa
watoto yatima wa kituo cha Tumaini Ilunda Njombe, pia likaandaa tafrija
fupi iliyohusisha wateja wa benki na wadau wengine wa Benki wa mkoani
Njombe.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment