Ndugu zangu wa East Afrcans Na wengine walio West,
North na South. Ni kijana wenu Heizar nimerudi tena, ila
safari hii nipo katika mashindano ya nyimbo bora katika
mashindano ya Rapvalg. Rapvalg ni kampuni ambayo inasaidia
wanamuziki waliochini kuibuka na kufika juu ambapo wanaweza
wakasikika zaidi na kwenda Pro.

Nimeshiriki shindano hili na
ni mara yangu ya kwanza na ningependa ndugu zangu mnisaidie
ku vote (kunipigia kura) katika hii link.( http://rapvalg.no/?page_id=777&artistid=68 )
unachotakiwa kufanya ni kuibonyeza hio link hapo na itakupeleka moja kwa
moja katika hio site na chakufanya ni kubonyeza katika zile
yota tano zote na utaoneshwa code ambayo utabidi uirudie
kuitype kama ilivyo na kisha unabonyeza neno ambalo linaiitwa Stem (Vote/piga kura)
ambalo lipo pembeni ya code baada ya hapo ni kwisha kazi.

Katika hili shindano tupo wasanii 28 na anatakiwa kupatikana mshindi moja kati ya hao.
So ndugu jamaa na marafiki naomba msaada wenu wakunipigia kura kwa wingi iwezekanavyo.
East African stand up na nchi nyingine za mbali !

tupo pamoja.. Heizar
Show love kwa Damian Ndassa
USIKOSE KUANGALIA FILAMU YA 69 RECORDS LEO USIKU
69records leo usiku Simple apishana kiswahili na Barka kuhusu Mima kuwa ndani ya nyumba. Nkwabi azidi kutafutwa na police huku baraka akiendelea kuandaa party ya uzinduzi wa 69records. usikose kuangalia 69records leo saa 3 usiku Clouds TV.
more info tembelea http://www.69records.tv/
VIBEZ GROOVE NITE - CLUB FOR STAR - MOROGORO - JUMAMOSI HII 11JUNI
USIKOSE...Usiku utakaopambwa na burudani ya muziki wa disco la aina yake kuanzia enzi za hizo mpaka sasa.Ni kutoka kwa Madj wakali kabisa..hii ni kwa wakazi wa Morogoro na maeneo ya jirani kama vile, Chuo Cha Mzumbe, Sua, Kihonda, Forest Hill na maeneo yote.
-Oldies- RnB-Hip Hop-Kwaito- Afro Beat- Bongo Fleva-
- Naija-Ragga-90's-
Muda Kuanzia: 3 Usiku mpaka kuchwee
Kiingilio: 6,000 tu..(mlangoni)
USIKOSE HII ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!

Dj Flip (Tz) , Dj Gordon (Tz)
&
Dj Nestar (Finland)
&
Dj Nestar (Finland)
Muda Kuanzia: 3 Usiku mpaka kuchwee
Kiingilio: 6,000 tu..(mlangoni)
USIKOSE HII ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!!
MICHUANO YA COPA COCA COLA 2011
Msimu wa Tano wa michuano ya Copa Coca Cola kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 unaanza kesho (Juni 11 mwaka huu) katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani katika viwanja vinne tofauti.
Uzinduzi rasmi wa michuano hiyo utafanywa saa 8 mchana kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi. Mikoa yote 28 ya Tanzania Bara na Visiwani inashiriki katika michuano ya mwaka huu.
Mechi maalumu ya uzinduzi itakuwa kati ya bingwa mtetezi Kinondoni na Dodoma na itaanza saa 10 jioni. Viwanja vitakavyotumika katika mashindano hayo ni Tamco na Nyumbu vya Mkoa wa Pwani, na Karume na Tanganyika Packers (Kawe) vya Mkoa wa Dar es Salaam.
Siku hiyo ya uzinduzi pia kutakuwa na mechi kati ya Temeke na Ilala itakayofanyika Uwanja wa Tanganyika Packers, Kigoma itapambana na Pwani kwenye Uwanja wa Nyumbu wakati Mjini Magharibi itaoneshana kazi na Morogoro katika Uwanja wa Tamco. Mechi hizo zitachezwa saa 2.30 asubuhi.
Ukiondoa mechi hizo rasmi za ufunguzi, kila siku kutakuwa na mechi mbili kwenye viwanja vyote. Mechi ya kwanza itaanza saa 2.30 asubuhi wakati ya pili itachezwa saa 10 jioni.
Hatua ya awali inachezwa katika makundi manne ya timu saba saba ambapo nne za kwanza katika kila kundi ndizo zitakazoingia hatua ya 16 bora.
Fainali itachezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati waamuzi 20 ambao wana umri chini ya miaka 17 wakiwemo wasichana wawili ndiyo watakaochezesha michuano hiyo.

DULLY SYKES KUPAMBA MISS DAR INTER COLLEGE 2011…!!
MKALI wa bongo fleva anayetamba na singo ya Bongofleva Dully Sykes anatarajiwa kupamba onyesho la kumsaka mrembo wa Miss Dar Inter College 2011 linalotarajiwa kufanyika juni 17 katika ukumbi wa Sun Cirro Club uliopo Sinza, jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Shindano hilo Vicky Kimaro amesema kwamba maandalizi yanaendelea vema na kwamba warembo 15 toka vyuo vya IFM, Ustawi wa Jamii, CBE na DSJ watapanda jukwaani kuwania taji hilo.

“RAISI WA WASAFI” AFIKISHWA POLISI KWA MADAI YA SH. MILIONI 70…!!
MSANII wa Bongo Flava, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi hivi karibuni kafikishwa polisi kwa madai ya kushindwa kurudisha mkwanja aliokopa! Diamond alifikishwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es Salaam akidaiwa kujipatia mamilioni ya mkwanja za jamaa aitwaye Msafiri Peter aka Papaa Misifa,ambapo ilidaiwa kuwa Diamond alimuomba ampatie milioni 30 ili atoe albamu yake na wakaandikishiana mkataba kuwa atakuwa akimpa asilimia flani kiaina ya mauzo na mapato ya shoo atazokuwa anafanya.
Lakini Diamond amekuwa akienda kinyume mkataba huo na kwa sasa anadaiwa shilingi milioni 70, yaani milioni 30 alizochukua na milioni 40 za fidia ya kuvunja mkataba huo…. Papaa Misifa amefunguka kukiri kumfikisha msanii huyo polisi na kumfungulia jalada la kesi lenye namba OB/RB/9343/11
Hivi sasa Diamond yuko nchini Sweden kupiga showz kadhaa..

No comments:
Post a Comment