Jun 12, 2011

NI ZAMU YA SERENGETI FIESTA LEADERS CLUB

 


Usaili wa kumsaka msanii mwenye kipaji cha kuigiza bado umendelea leo Leaders Club baada ya kuzunguka mikoani, sasa ni zamu ya Dar es Salaam ambapo wasanii wengi walikusanyika katika viwanja hivyo  kuonyesha vipaji vyao ya uigizaji. Usaili huo unaongozwa na mtangzaji mahiri wa Kituo cha Utangazaji cha Redio/Runinga cha Clouds, Zamaradi Mketema. Picha ya juu ni jopo la majaji wasanii likiongozwa na Zamaradi (wa pili kushoto) akifuatiwa na Shamsha Ford, Yusuf Mlela na Mtitu (kushoto).

                                         Zamaradi na Mtitu ndani ya Leaders club
Dogo Hassan Juma akionesha kipaji chake cha kuigiza

...sehemu ya umati wa wasanii waliofika kujaribu bahati zao

Yusuf Mlela

zamaradi

Mr. Wasiwasi
Shamsha Ford
Aunt Ezekiel

No comments: