Picha ya kwanza juu: Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Zanzibar Mohamed Mansour (kulia) akimkabidhi tunzo mwanamuziki bora wa kiume wa nyimbo za kizazi kipya Juma Twenty kwenye Zanzibar Music Award 2011, zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Picha ya pili juu:Mwanamuziki wa kizazi kipya Baby J akiwa ameshikilia tunzo yake aliyojinyakulia kwenye Zanzibar Music Award 2011, baada ya kuwa mwanamuziki bora wa kike wa muziki wa kizazi kipya, zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kulia ni Hagai Samson aliyemkabidhi tunzo hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar na Mkurugenzi wa Zanzibar Media Corporation Seif Khatibu (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi bora wa kike wa nyimbo za asilia Sada Mohamed mara baada ya kumkabidhi tunzo yake kwenye Zanzibar Music Award, zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Mjumbe wa NEC Aisha Kigoda (kulia) akimkabidhi tunzo msanii bora chipukizi wa kike Sauna G kwenye Zanzibar Music Award, zilizofanyika juzi mjini Zanzibar na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Mwanamuziki wa kizazi kipya Baby J akionyesha tunzo yake ya pili mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Zenj Fm.
Saturday, June 11, 2011
Lil Wayne & Birdman Ball While Lawsuits Roll In. 4th Producer Sues For Non Payment On Tha Carter III

As we draw closer to the August release date of Lil Wayne's new album 'Tha Carter IV' lawsuits keep pouring in from producers wanting to get paid for their work on it's predecessor, 'Tha Carter III.'
Just within the last week, Wayne has been sued twice. First by producer David Kirkwood, who claims he's owed $1.5 million, then the production team of Play-N-Skillz sued him for $1.5 million for producing the hit song "Got Money."
"A Milli" producer Bangladesh sued Weezy for $500,000 last May, and in March of this year Darius ‘Deezle' Harrison sued the rapper for $20 million for his production work on the album.
Add Jim Jonson's accusation that he was never paid for his work on "Lollipop" and you have five producers who are still looking to get paid three years later.
Just within the last week, Wayne has been sued twice. First by producer David Kirkwood, who claims he's owed $1.5 million, then the production team of Play-N-Skillz sued him for $1.5 million for producing the hit song "Got Money."
"A Milli" producer Bangladesh sued Weezy for $500,000 last May, and in March of this year Darius ‘Deezle' Harrison sued the rapper for $20 million for his production work on the album.
Add Jim Jonson's accusation that he was never paid for his work on "Lollipop" and you have five producers who are still looking to get paid three years later.
The King Is Back, T.I. Writes New Blog & Thanks Fans in new Letter
It's been a minute since incarcerated rapper T.I. spoke with his fans via his website. With his impending release just a few months away the Kaang updated his audience on his well being. Free TIP!
What up world? Been a minute. I’d like to thank you all for the thousands of letters, cards, books, pictures and words of encouragement. I’m truly grateful. I’m sure you already know I’m nearing the end of this chapter of my life, and looking forward to taking all of the things I’ve learned with me while leaving all the rest of the “BS” behind. I’ve been tuned in somewhat to what’s been happening out there. I can’t even begin to tell y’all how much being on the outside looking in, having to witness all that’s going on (and not going on) in the game affects me. Not being able to do what I love especially. It’s like a whole other sentence within itself. But I really do appreciate all the love, respect, shout outs and salutations during this very difficult period in my life. Everybody from da homies Weezy, Killa Mike, R. Rozay my lil bruh B.o.B, Terrence J (106 & Park) and my “durty” Nelly. Regardless of whether the gestures were the greatest or the smallest, they still meant the world to me. REAL TALK. The separation from my art has definitely sparked an inferno of inspiration that will soon be felt by all. As a matter of fact, to show my appreciation to those that have been in support of me and granted the requests of TEAM T.I. I’ll be releasing a record in the near future (couple of weeks tops) to hold y’all over til I get back in action. During this time of seclusion I have developed a mind full of thoughts, ideas, plans and strategies of change to incorporate into my professional endeavors, as well as my personal lifestyle. But none of them is as strong as my determination to conquer my own imperfections and my will to WIN NO MATTER WHAT!!!
I love, respect and appreciate all those who have stood beside me and I have accepted those you didn’t. But one things for sure and two for certain. As long as the Most High blesses me with the ability to live and breathe….My campaign will continue!!! Stronger, smarter, bigger and better than ever. For those that doubt that…See me when they free me.
Love King
I love, respect and appreciate all those who have stood beside me and I have accepted those you didn’t. But one things for sure and two for certain. As long as the Most High blesses me with the ability to live and breathe….My campaign will continue!!! Stronger, smarter, bigger and better than ever. For those that doubt that…See me when they free me.
Love King
HUKUMU YA WEMA SEPETU
Muigizaji maarufu katika tasnia ya filamu hapa nchini na aliyewahi kuwa mrembo wa Tanzania, jana amehukumiwa kwenda jela miezi sita au kulipa Faini ya shilingi elfu 40 katika kesi iliyokuwa inamkabili ya kumtukana matusi ya nguoni sanjari na kumtishia maisha msanii wa muziki wa kizazi kipya Bob Junior.
Hukumu ya kesi ilifunguliwa na Raheem Rummy Nanji "Bob Junior" Bob Junior alifungua kesi katika mahakama ya Mwanzo Kinondoni jijini Dar es Salaam, akimlalamikia Wema kumtukana matusi ya nguoni sanjari na kumtishia maisha. Kesi hiyo ambayo Wema alikiri kutenda kosa, Bob Junior alitakiwa kwenda na mashahidi tarehe 9 june.
Kabla ya kesi hiyo kutinga kwenye mahakama hiyo, Bob Junior alipeleka mashitaka yake kwenye kituo cha Polisi cha Osterbay, jijini Dar es Salaam na kufungua jalada la kesi namba OB/RB/6337/2011 MADAI: Kutishia maisha.
Wema hata hivyo hivi karibuni alisikika kwenye chombo kimoja cha Habari akiwaomba watanzania wamuombee kufuatia kesi hiyo. Aidha, alisema amebadilika na kuwa mwananchi mwenye maadili huku akilalamikia maisha yake ya nyuma kuwa yalichangia kumfikisha alipo sasa.
No comments:
Post a Comment