Jun 21, 2011

50cent is back na ngoma mpya inaitwa OUTLAW (Free Downloa


50cent is back again...Kaachia ngoma ya kwanza ya album yake mpya ambayo inaitwa OUTLAW… Humo ndani anakwambia kuwa yeye ameanza ku-stunt kabla ya kuwa msanii, Wewe unafanya unachobidi ufanye, mimi nafanya nachotaka kufanya, ukinizingua nakumaliza-wanasheria wangu wananguvu.., Pia kawaambia wasanii wenzake kuwa anajua wako kwenye chart na ngoma zao zina-hit, ila hawana uwezo wakufanya mambo anayofanya… mwenyenacho kinaonekana.. Pia anamwambia Diddy kuwa yeye ndio Party monster wa Newyork kwasababu hamna mtu ambaye ameweza kufanya party kubwa kama aliyofanya yeye miaka flani nyuma hivi…

Pamoja na hayo yote…Jamaa sasa hivi yupo fresh na Dr.Dre…Juzi kati wamekaa na kumaliza utata wao…ukiwemo ule wa Headphone.. So album ya mtu mzima 50cent itafanyika chini ya Interscope, Aftermarth na Shady Record ambazo ni label zinazommiliki 50cent

No comments: