Jun 21, 2011

Dibanj na Don Jazzy wakisiini mikataba na Kanye west live.

Kumekuwa na story kuwa wasanii kutoka Nigeria ( Dibanj na Don Jazzy ) wamesainiwa na label ya GOOD MUSIC inayomilikiwa na mtu mzima Kanye West kwa mda flani hivi.. Sasa Teentz imesibitisha kuwa ni kweli na imepata tukio zima live…

Dondoka pande za Teentz.com ujione mwenyewe jinsi ishu nzima ilivyokuwa na Dibanj, Don Jazzy na Kanye West waki-sign mikataba liveee kabisa… …., Wakati wa tukio hilo walikuwepo Jay Z, Kid cudi, Pusha T na mastaa wengine kibao kama mashahidi wa makubaliano yako… Baada ya hapo zikapigwa ngoma za Dibanj kwa sana tu huku watu waki-pop bottle…

No comments: