May 5, 2011

MAPENZI YAZIDI KUMTOA J.LO.......... AJA NA KITU CHA I'M INTO YOU NA MTU MZIMA WAYNE

Jennifer Lopez ameachia video yake ya ngoma yake ambayo inakimbiza mbaya kwasasa ngoma yake ya pili kutoka kwenye Album yake mpya inayoitwa LOVE? katika video hii mtu mzima Lil wayne hajaoneshwa ila atatokea kwenye version ya pili ya video hii ambayo itakua kama Exclusive ndani ya kipindi cha BET kinachojulikana kama 106 & Park humo ndani ya video mwanadada Jlo amejiachia na acter maarufu wa tamthilia za ki mexico anaejulikana kama William… Album ya love inaendelea kufanya vizuri sokoni hii ni baada ya kuachiwa siku chache tu.

No comments: