May 5, 2011

Kundi laIce Cream laibuka kidedea kwenye Serengeti Dance la Fiesta the Jump Off mkoa wa Tanga

Ule mchakato mzima wa kusaka kundi linalojua ku dance Tanga yani Serengeti la Fiesta the jump off umekamilika vikundi kibao viliweza kujitokeza kushiriki kinyang'anyiro hicho likiwemo kundi linaloitwa Town Boys,Ice Cream,Street Color,Street Color Asilia...ila kama unavyojua shindano lolote lazima apatukane mkali zaidi ya wote sasa kwenye mchuano huu wa Serengeti Jump la Fiesta mkoa wa tanga kundi la Ice Cream waliibuka kidedea na kuwafunika wenzao wote walioshiriki Majaji wa mchakato huo mzima alikuepo mtu mzima B12 kutoka XXL ya Clouds FM,Qwhisar kutoka Step up player ya Clouds TV na jaji wa misho ni Msami kutoka THT.......
       Hili ni nyomi lililokuepo kwenye Serengeti Dance la fiesta the Jump Off
                
  Hawa ndio walikua majaji wa mchakato mzima B12,Qwhisar & Msami kutoka THT

     Street Color Asilia wakionesha manjonjo yao

       Street Color nao hawakua nyuma walipiga bonge la show

                                                                 
Town Boys nao walionesha ukali wao
Majaji wakijadiliana ili kuweza kutoa matokeo ya mchuano huo
Na hatimae Babuu wa kitaa kuwatangaza kundi la Ice Cream kama washindi wa Serengeti Dance la Fiesta the Jump Off  kwa mkoa wa TANGA

No comments: