Apr 20, 2013

siasa mchezo mchafu sana

Eti hawa ni wanafunzi au wale vijana wa chama fulani? Badala wawaache watoto wa watu wasome wanawaxumbua mpaka wanapata zero afu wao watoto wao wapo Ulaya afu hata hawawaxaidii hawa wenye zero teh!

Hahahax Najivunia kuwa Hai tu. Ila Naipenda Tanzagiza!
 
No comments: