Apr 27, 2013

HAWA NDIO NOMINIES WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013

Katika majina ya wasanii waliotajwa leo hii kuwania tuzo za Kili 2013, Ommy Dimpoz ameonekana kuongoza kwa kuchaguliwa katika categories 6, akifatiwa na Ben Pol ambae amechaguliwa katika sehem 5 tofauti, Mwasiti 4 na Kala Jeremiah 4.
Mwaka huu pia mabadiliko yameonekana pale walipoamua kuongeza categories kutoka 24 zilizokuwepo mwaka jana, mpaka kufikia 37 mwaka huu .








No comments: