Feb 18, 2013

CHICHARIIIIIIIIIIIIIIIIITOOOOOOOOO

Chicharito ameisaidia manchester united katika maechi yake ngumu zidi ya Reading katika kombe la FAbaada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa mchezaji anayesumbuliwa na bench Luis Nani katika dakika ya 72 ikiwa luis Nani ndiye aliyekuwa wa kwanza kulichungulia lango la Reading katika dakika ya 69. manchester united wamesonga mbele katika hatua nyingine ya mashindano.

No comments: