Feb 18, 2013

ALIYESHIBA HAWEZI KUMKUMBUKA MWENYE NJAA....

 Ni kama utani vile lakini amini kuwa mahari hapa ni sehemu ambayo inatumiwa sana na watoto yatima kama sehemu yao ya kulala, wabunge kila siku wanapokea millioni kadhaa lakini hawawezi kukumbuka tu hata mateso ya watoto wa mtaani.
Huu ndio muonekano wa nyumba yao ya kulala. Nyumba hii inapatikana maeneo ya kanisa la roman catholic jimbo kuu la mjini kahama karibu na uwanja wa basket.
Je waheshimiwa madiwani na viongozi wengine munalitambua hili? Mtoto wa mkulima atateseka mpaka lini jamani?

No comments: