DR.ULIMBOKA, KABLA YA KUJERUHIWA, ALIPOJERUHIWA NA BAADA YA KUPONA
|
Dk. Steven Ulimboka, alipolazwa hospitalini jijini Dar es Salaam, picha ya katikati, anavyoonekana jana baada ya kutibiwa Afrika Kuisni na kulia ni jinsi alivyokuwa kabla ya kujeruhiwa na watekaji. |
|
Kiongozi wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven
Ulimboka, akiwa amebeba maua, nakuzungukwa na amadaktari wenzake na wananchi wa kawaida, alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa |
No comments:
Post a Comment