Jul 30, 2012

NAUNGA HOJA MIA KWA MIA

Kuna kitu sikielewi,hivi ukipitisha bajeti harafu wakati wa kuchangia unaanza kwa kusema naunga hoja mkono mia kwa mia harafu anaanza kwa kusema serikali haijaangalia matatizo ya jimboni kwangu,kulikua na tatizo la barabara halijatengenezwa na wananchi wangu wanataabika na sijaona pesa iliyotengwa,sasa inakuaje uunge mkono hoja wakati hujaona unachohitaji mnisaidie waungwana mie sielewi kwa hili

1 comment:

Unknown said...

Kiukwel haina maana hata kidogo kwani ni upuuzi tu ndio unaofanyika kwasababu wote wako pale kwa kujifaidisha wao:

Asante xana bwana mkubwa baba na mtoto wametoa hoja na ku comment thanks