Feb 24, 2012

ADELE AWAONYESHEA KIDOLE CHA KATI: BRITISH AWARDS

Reaction yake tu inaonyesha ni jinsi gani alivyo na nafasi kubwa katika mziki wa uingereza, licha ya kuwaonyesha kidole cha kati record company bosses kupitia televishen ya taifa jumanne usiku, Adele ndie aliepokea samahani kibao siku ya jana.
Adele wakati akipokea tuzo yake katika 2012 Brit Awards, alikatizwa kuongea wakati alikuwa hajamaliza kutoa speech yake ya kukubalika baada ya kushinda album bora ya mwaka.

‘Nothing makes me prouder than coming home with six Grammys, then coming to the Brits and winning Album of the Year,’ said Adele. ‘I am so, so proud to be British and to be flying the flag and to be in the same room as all of you.’
akaendelea kufungua mdomo na kuongea lakini alikatizwa  na mtangazaji, muigizaji James Corden, ambae alikua kaambiwa kuwa wako nyuma ya time hivyo alitakiwa kumkata

‘naweza tu kusema kwaheri na tutaonana wakati mwingine? aliuliza Adele, nabaada ya hapo mwanadada akakinyanyua kidole chake cha kati juu kwa mabossi waliokuwa wameizunguka stage

1 comment:

dj lazzer5ive said...

Dah mwana dada dizaini kama hana aibu