Feb 24, 2012

STAR WA SINGLE YA "FACEBOOK" HOI HOSPITALI


Habari kutoka kwa Madiba zinasema kwamba yule bwana mkubwa aliyetoa hit single zilizovuma hapa Tanzania kwa kipindi kirefu za Facebook na Bhampa Side to Side, Dj Cleowiki iliyopita alianguka nyumbani kwake katika eneo la Honeydew kwa kuugua maradhi ya Appendix.


Dj Cleo ambaye alikimbizwa hospitali na mama watoto wake, alifanyiwa upasuaji Jumanne usiku.

‘Nilifikiria kwamba ninakufa kwa jinsi nilivyosikia uchungu mkali tumboni kabla ya kuletwa hospitali Jumatatu. Namshukuru Mungu naendelea vizuri, nasikitika tu sitaweza kupiga shows kwa muda kutokana na kulazimika kua home kupumzika.’alisema Cleo.
dj Cleo pi alitaraji kufanya show hapa Tanzania hivi karibuni
kama unakumbuka msanii Jaffarie pia alishaugua ugonjwa huun na kusababisha asiwezi kwenda South Africa kupiga show na wenzake wa kundo la Wateule

No comments: