May 8, 2011

NAPATA RAHA YAKE JUX YAENDELEA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA TOP TEN ZA RNB ZA LOST-9FM.

 
Akiwa anajitambulisha katika ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya kijana Jux ambaye anatamba na ngoma yake ya Napata raha ikiwa inarushwa na vituo mbali mbali vya Television hapa nchini lost-9fm yafunguka na kuitaja ngoma yake ya Napata raha kuwa ndiyo ngoma ya wiki
Kijana Jux ambaye anapata raha kwa style ya Chriss Brown (With you) anashine mbaya katika vituo mbali mbali vya radio na Television
Unafanana na msichana ambaye usiku mchana nataka kuwa naye nisije siku nikaachana naye.
Na Lost-9fm.

1 comment:

Unknown said...

Vijana wanakaza sana siku hizi kiukweli ni ngoma ambayo inasumbua sana katika media.