May 8, 2011

KIDUKU SIO MJINI TU HATA KWETU KIJIJINI KINAFUNIKA.....

Baada ya kushine vilivyo style ya kiduku mjini lost-9fm iliamua kufunga safari kwenda kijijini kuona kama nao hawako nyuma kwa style ya kiduku, lost-9fm ilishangazwa na watoto wa villa baada ya kuwekewa wimbo wa Wiyo wayo wa Dully, mama yangu hawa hapa hebu ona.

No comments: