Apr 13, 2011

MSANII WA BONGO FLAVA BABY MADAHA AJITOSA KWENYE INDUSTRY YA MOVIE.....

Msanii pekee wa Bongo flava aliyewahi kukiri kuwa amepiga Kikombe cha Babu Loliondo Baby Madaha, baada ya kuikaushia kwa muda mrefu Game ya Bongo Flava na Kujikita Kwenye Industry Bongo Movie Amefanikiwa kutoa Movie inaitwa Desperado, na hivi karibuni ili kuipromote movie hiyo sokoni, tuanfahamu kabisa ukali wa Kampuni ambayo amekua akifanya nayo kazi Pili Pili Intertainment, ndani ya video kuna nini, location, budget na vitu kama hvyo anafunguka mwenyewe Baby Madaha…..

1 comment:

dj lazzer5ive said...

Chimbi popote pale ilimradi unaipata kiharali dada