Jun 15, 2013

TID AAPA KUMTANDIKA OMMY DIMPOZ ...KOSA NI TUSI ALOMTUKANA NGWEA.....

Msanii T.I.D naye ameingilia   kati  tuhuma za Ommy Dimpoz kumtukana marehemu Albert “Ngwair”    kwa  kuahidi  kumdunda  popote  atakapomuon....
Hiki ndicho  alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake ea facebook kuhusu hilo.

“Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu atamlaani………mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.”

No comments: