Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa Kitanzania anayeishi na wazazi
wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa miaka 14 na mwanafunzi wa kidato
cha pili huko Singapore, tayari ameshatumbukiza jina lake katika
orodha ya wataalamu wa application katika moja ya makampuni makubwa
duniani ya kutengeneza simu za mkononi ya NOKIA, ambapo anatengeneza
applications ambazo anazituma katika kampuni hiyo ambayo nayo bila
hiana huitumia.
Chanzo cha Habari:Udakuspecially
No comments:
Post a Comment