Jun 5, 2013

HIVI NDINYO MAELFU YA WATU WALIVYOJITOKEZA KUUGA MWILI WA MSANII ALBERT MANGWEAR KABLA YA KUELEKEA MOROGORO

Diamond Platnumz akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Albert Mangwea kutoa heshima zake za mwisho.


Rais wa Chama cha Wanamuziki Nchini.

Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho



Umati wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by.
Baadhi ya wasanii wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.









No comments: