Apr 20, 2013

NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI, HILI NI TAWI JIPYA BUZURUGA MWANZA..

.
.
NMB inaendelea kutambaza zaidi mtandao wake wa matawi na kusogeza huduma za kibenki karibu na familia yake ambapo sasa imekuwa karibu na wateja wa eneo la Buzuruga Mwanza katika jengo la Buzuruga Plaza karibu na kituo cha mabasi cha Buzuruga.
NMB inaendelea kuwa kinara katika ubunifu Tanzania kwa kuanzisha huduma nyingi za kibenki. Hivi karibuni imeungana na Vodacom ili kuwarahisishia wateja kupata huduma za kibenki kwa urahisi. Sasa wateja wanaweza kuweka na kutoa fedha kwenye akaunti ya NMB kutokea M-Pesa. Huduma hii ni ya haraka, salama, unaitumai popote ulipo na wakati wowote.   
.
.
.
.

No comments: