Apr 20, 2013

HIZI PICHA 5 ZA BEYONCE ZA SHOW YAKE SERBIA ZAZUA GUMZO NA KUMFANYA APATE HEADLINES NYINGI MTANDAONI.......

.
.
Hizi picha ni za jinsi mwimbaji Beyonce alivyokua amevaa huko Belgrade, Serbia siku ya jumatatu kwenye usiku wake wa kwanza wa mfululizo wa show zake za Mrs. Carter Tour, uvaaji wa hili vazi ndio umefanya hizi picha zichukue headlines kwa uzito kwenye Internet.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments: