Apr 23, 2013

HAPA NDIPO MAHALI UJANJA WA RAPPER TYGA ULIPOISHIA, DRAKE NAE ASEMA ATAFUATA NYAYO HIZI

HAPA NDIPO MAHALI UJANJA WA RAPPER TYGA ULIPOISHIA, DRAKE NAE ASEMA ATAFUATA NYAYO HIZI

Mbali na kuwa busy na mishe zake za kutangaza Albam yake mpya ya Hotel Carlifonia, Tyga ameonyesha spirit ya kuwa yeye ni mtu matured na yupo responsible kwa familia yake kama baba, kutokana na hatua yake ya kutoka na baby mama Black Chyna pamoja na mtoto wao King Cairo, kwenda kula 'kubatalika' Disneyland Park ya huko Carlifonia.

Familia hii imeshare good tym yao hii kupitia mtandao kwa picha kadhaa, ambapo pia zinamuonyesha vizuri 'kidi' wa rapa huyu ambaye kwa sasa tayari amefikisha umri wa miezi 6.
Kwa upande wa Tyga, Albam yake ya Hotelk Carlifonia imegusa namba 7 katika chati za Billiboard 200 ikiwa imefanikiwa kuuza nakala 54,000 katika wiki yake ya kwanza, wakati huu akiwa anasikilizia kuanza tour ya albam hii huko Ujerumani tarehe 30 mwezi huu.
King Cairo

No comments: