Mar 11, 2013

MASHABIKI WA MZIKI WA KIZAZI KIPYA WASEMA YAO KUHUSU VIDEO YA OMMY DIMPOZ


Siku chache baada ya kuachia video yake iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa bongo fleva, matokeo yake yamekuwa sio mazuri kwa Ommy Dimpoz na video ya wimbo wake wa me and you, aliyoshoot na kampuni kutoka Kenya inayoitwa Ogopa, huku akiwa ameishoot katika maeneo ya huko huko kenya.
haya ni baadhi ya maoni juu ya video ya wimbo huo

No comments: