Mar 15, 2013

JUMA NATURE: NGOMA YANGU NA TUNDA MAN IMEKAMILIKA



Baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, the long time legend kwenye mziki wa bongo fleva, Juma Kassim Kiroboto, Juma Nature, ameamua kudondosha fleva mpya kwa maskio yako akiwa amemshirikisha Tunda Man.
Ngoma yangu mpya nimefanya na tunda man imekamilika na jmoc ya kesho kutwa naiachia na kwa wale wanaotaka kuiskiliza kuanzia kesho tembelea kwenye blog ya tmkwanaumehalisi utaisikiliza kupitia humo na utatupia comment yko na maoni yko kuhusu hiyo nyimbo samahanini mashabiki wangu kwa kukaa kimya muda wote na video nafanya kuanzia wiki ijayo na showbizdefine

Licha ya kuandika kwenye facebook kuwa ngoma hiyo itaskika siku ya jumamosi, Nature ameamua kuachia leo hii exclusive kupitia xxl na dakika sifuri ikishasikika hapo utaisikiliza na kuidownload kupitia blog hii

No comments: