Mar 31, 2013

DIAMOND APOKELEWA KAMA MFALME BUKOBA


Kwanz kabisa ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kabisa
 kwa Mwenyezi Mungu kwa siku ya Jana....Tarehe 30 march
niliwasili salama salimini mjini bukoba Mkoani Kagera....Pili
niwashukuru Mashabiki zangu wote Mkoani Humu kwa kunipokea
kwa hali na mali ,Hii inaonyesha jinsi gani watanzania wanathamini
na wana mapenzi na wasanii wao.....!!
Nililazimika kutoka Juu ya Gari kuwasalimu
 kabla sijaelekea hotelini....
Nilivotokeza hali ilizidi kuwa mbaya zaidi....Polisi walilazimika
kufunga barabara
kadhaa mjini bukoba na hata kazi zingine kusimama kwa muda
kutokana na watu
kuzingira Gari nilokuwepo kila kona
nilipokuwa pita.....

Zifuatazo ni Picha Jinsi wananchi walivyojitokeza kunilaki kama
mfalme mjini Bukoba....!!
kanga moja pia walikuwa ndani...
haatariiii













waacheni watoto waje kwangu..












No comments: