waliokuwemo
katika gari hiyo ni Salim Towfiq, Saleh Mohammed, Said Salim Said, Dadi
Kombo, Jokha Ali, Almas na mie mwenyewe Salma Said wengine dereva na
mchukuaji video tulikuwa njiani ndio tukakutwa na mtihani huo ambapo
mara ya kwanza katika ku over take tumekosewa chupuchupu tukasalimika
tukasonga mbele kufika mbele tena kosa jengine hilo hilo la ku over take
lakini mara ya pili gari iliyokuwa ikiwa kwa mwendo wa wastani ikagonga
gari yetu na kuvunja vioo ambavyo vikaingia ndani ya gari,
Alhamdulillah watu waliokuwemo ndani ya gari yetu hakuna aliyeumia
lakini wengine walipata mshituko wa moyo, ila dereva wa gari ya pili
ndio ameumia sehemu ya uso na amepata majeraha. Alhamdulillah Mwenyeenzi
Mungu ametunusuru kwa hili atunusuru na kwa jengine inshaallah..
Source: SALMA SAID
No comments:
Post a Comment