Feb 18, 2013

RAIS KIKWETE : "VITAMBULISHO VYA TAIFA HAVITAUZWA"(Pichani ni mfano wa muonekano wa Kitambulisho cha Taifa)
Rais Jakaya Kikwete amesema serikali itagharamia gharama zote za mamlaka ya vitambulisho vya taifa nchini NIDA ili kuondokana na changamoto zilizojitokeza awali huku akiwataka watendaji wakuu na watumishi wa NIDA wawe wazalendo na waaminifu kwa kuepuka kutoa vitambulisho kwa watu wasiostahili.

No comments: