Feb 23, 2013

JCB AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE DIANA JORGENSEN


JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen 
ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha


Jcb akipitia makaratasi huku mke wake akicheza na pete na maua na mwanae


Baada ya kufunga ndoa, kinachofata huwa ni picha na hapa ni akiwa na ndugu jamaa na marafiki

No comments: