Sep 7, 2012

WAZIRI MKUU PINDA KUUNGURUMA KAHAMA LEO.


WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH.MIZENGO PINDA.

Waziri mkuu wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mh Mizengo Pinda leo ataunguruma katika uwanja wa halmashauri mjini Kahama.

Kabla ya hapo atapata fursa ya kufungua karakana ya kilimo iliyopo Nyahanga mjini hapa kisha atafungua Supermarket ya kisasa ya Royal Supermarket mjini hapa inayomilikiwa na Mhoja Ndegesela.

Matukio zaidi yatakuija hapo baadaye endelea kusoma blo hii.

No comments: