Sep 7, 2012

FUNDI SAMWELI kuondoka TANZANIA mwezi wa 10 na hatorudi tena.

Yule Producer mkali kutoka pande za Kibaha Fundi Samweli amenitumia sms iliyokuwa inasema hivi
"Mpendwa mteja nitaondoka Tanzania mwezi wa 10. Sitorudi tena nitamwacha Producer wangu Zidady studioni, ataendeleza kazi yangu namba yake ni 0719 868085
Fundi Samweli"

No comments: