Aug 22, 2012

RIHANNA : " BADO NAMPENDA CHRIS BROWN"


Rihanna aliweza kuyaongea hayo maneno ya kuwa bado anampenda Chris Brown kupitia kipindi cha  Next Chapter na Mtangazaji Oprah Winfrey baada ya Oprah kumtembelea huko Barbados. Rihanna alifunguka zaidi kuhusu maisha ya uangalizi na swala la yeye kuwa ni moja ya sexiest woman in the World. Pia ameliongelea swala la kuhusu kufanya remix ya wimbo wake na Chris Brown nikwamba kulikuwa hakuna mtu wa kukaa kwenye ile collabo zaidi yake na nikitu ambacho kilibidi kifanye kwa wakati ule tu. Kwa story zaidi angalia Interview hiyo kati ya Rihanna na Oprah:-

No comments: