Aug 19, 2012

HUYU NDIO MISS WORLD 2012, PICHA 11 ZA WAREMBO WA MISS WORLD 2012 KWENYE POZI TOFAUTI..


Huyu ni Yu Wenxia (23) kutoka China ambae ndio ametangazwa mshindi katika Miss World 2012 ambapo hii inakua mara ya pili kwa China kushinda Miss World, mara ya kwanza ilikua 2007.
Alie mbele kushoto ndio Miss World 2012 namba mbili kutoka Wales, wa katikati ndio Miss World 2012 kutoka China na mshindi wa tatu alie kulia ni kutoka Australia.
.
.
Picha za chini zinazofata ni wakati wakiwa backstage.
.
Mamiss kutoka nchi mbalimbali.
Miss Lebanon.
Miss Hungary 2012 na Miss Slovania 2012.
Miss Cyprus 2012.
Miss Kazakstan.
Miss South Sudan.

No comments: