Aug 19, 2012

DIVA GIVING FOR CHARITY yatembelea kituo cha kulelea watoto yatima NEW LIFE ORPHANS HOME


 Diva Loveness kutoka Clouds FM kipindi cha Ala za Roho baada ya kuchangisha michango mingi sana na watu wakajitolea kwa wingi ili kuwasaidia watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto hao kilichopo maeneo ya Kigogo Dar es salaam kinachoitwa New Life Orphans Home. Ikafika muda wa kuzipeleka zawadi hizo kwenye kituo hicho na kusikiliza hotuba fupi ya kituo hicho huku mgeni rasmi akiwa ni muheshimiwa mbunge Filikunjombe.
 Baadhi ya zawadi walizoletewa watoto hao wakikabidhiwa na Diva Loveness pamoja na Mh Filikunjombe
 Msanii wa Bongo Fleva Mwasiti akiwa na watoto wa kituo hicho

 Huyu ni mama mlezi wa kituo hicho anaitwa Mwanaisha Magambo

Dj Choka na Sudy Brown mzee wa U Hediiiiiiii kutoka Clouds FM

No comments: