Jul 22, 2012

BE READY FOR MY WEBSITE......MABESTE


Leo hii Mabeste amepiga story na mimi na kufunguka kuhusu mabeste website pamoja na video ya "ALISEMA"..."Baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, nitaachia video yangu ya ALISEMA na pia nitaizindua website yangu inayitwa http://www.mabeste.com/ , kwahiyo fans wangu watakuwa wakifaham vingi vinavyoendelea kuhusu mabeste kupitia website hiyo.." amesema mabeste...

1 comment:

Unknown said...

Gud news mzazi tunategemea mengi