![]() |
Prezzo |
Kuna maneno yanazungumzwa kuwa rapper Prezzo na muigizaji wa kike Nini Wacera wataiwakilisha Kenya katika mashindano ya mwaka huu ya Big Brother Africa yaliyopewa jina la Big Brother Stargame.
![]() |
Nini Wacera |
Japo haijathibitishwa rasmi, fununu hizo zimekuwa kubwa kiasi cha kuwepo wa mjadalala unaoendelea sasa hivi katika mdaoa wa twitter wenye jina la #ContestantsBetterThanPrezzoForBBA.

Wengine wanaotajwa sana kuiwakilisha Kenya ni pamoja na Bonoko, Wakoli Bifwoli, Jelimo, Miguna Miguna, miongoni mwa wengine.
No comments:
Post a Comment