Leo  hii nimekutana na msanii ambae alipotea mara tu baada ya kutoa  MBAYUWAYU na hiyo ikiwa nikutokana na kupiga show huku na kule sasa  amerejea na single yake mpya iliyotengenezwa na producer Fundi Samweli  kutoka Usanii Production iliyopo kibaha ." single yangu hii inaitwa  kirungu na saa yoyote utaskia si unaona nimekuja nayo mjengoni hehehee"  alisema ... kesho utapata nafasi ya kuisikiliza na kuipakua   kupitia hapa hapa lost-9fm
 
No comments:
Post a Comment