Jun 21, 2011

USIKOSE FAINALI ZA KUMTAFUTA MKALI WA FREESTYLE TANZANIA

 

mshindi wa freestyle Mbeya
mshindi kutoka zanzibar
washindi wawili  kutoka Mwanza kushoto ni Rowland, Ncha kali, Fetty na Kadgo

Rota mshindi wa freestyle zanzibar

washindi wa dar-es-salaam kushoto ni haidari, msangi,haleluya, mafleva na alba one

Hatua ya mwisho katika kumpata mkali wa freestyle Tanzania imefika, ambapo siku ya tatrehe 19 june, jumamosi hii itafanyika show kali ndani ya Coco beach, bila kuwa na kiingilio chochote.njoo ushudie washindi 12 kutoka mikoa mitano tofauti ikiwa ni  Mbeya, Zanzibar, Arusha, Mwanza na Morogoro bila kusahau Dar.  njoo ushuhudie ladha tofauti kutoka mikoa tofauti juma pili hii ndani ya coco beach BUREEEE

No comments: