Jun 9, 2011

Rl featuring Gnako - Machiz wa A.R...

Rl toka kundi la the blacks wenye maskani yao pande za kaskazini yani
Atown arachuga,baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu anakuja tena na
ngoma mpya alomshirikisha mtu mzima kankara tha finest wa AR
wakikwambia "MACHIZ WA AR",..Crew langu la the blacks lipo fresh na ni
kwamba pia mimi binafsi nina solo projects zangu zikiwemo album na
mixtape pia ambazo nazishughulikia kwenye studio za hapa tanzania na
kenya pia" asema RL..."napenda kutoa big up sana kwa mchiz Gwarawara
kuniwekea chorus ilokwenda shule,na pia noizmekah studioz kwa DX
kuhusu mixing mpango mzima,mashabiki zangu wakae standby kupata full
mizuka oi"...

No comments: