Jun 27, 2011

MWANZA KUMENOGA SANA… SERENGETI FIESTA 2011


Msanii wa mchanga wa hip hop kutoka pande za Mbeya, Raymond akionyesha mambo yake ndani ya Serengeti Fiesta 2011.
Msanii wa hip hop, Profesar J akiwasha moto ndani ya Serengeti Fiesta 2011, CCM kirumba Mwanza.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye ni makali wa viduku akionyesha umahili wake wa kuimba na kucheza.
Msanii mchanga mwanadada Recho akionyesha umahili wake wa kucheza, ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza.

No comments: