Wasanii wa filamu za Bongo, Latifah Shabaan Idabu 'Badra' (kushoto) na Skyner Ally (kulia) wakiwa katika pozi ndani ya ukumbi wa klabu Billicanas usiku wa kuamkia leo.
Msanii Belle 9 akikamua jukwaani katika klabu ya Billicanas usiku wa kuamkia leo kama utambulisho wa shoo yake ya Jumapili ijayo.
...Badra na Skyner wakipozi na Zuwena Mohamed 'Shilole' (kulia).
..Pozi la Skyner.
No comments:
Post a Comment