May 14, 2011

Whitney Houston amerudishwa tena Rehab


Whitney Houston amerudi tena rehab kwa mara nyingine kwasababu ya matumizi mabaya ya pombe na madawa ya kulevya..mwanadada huyu pia alishawahi kupelekwa sehemu hiyo kwa mara ya kwanza ilikua mwaka 2005 sasa inavyosemekana ni kua Whitney ameamua kwenda rehab kwasababu kuna movie mpya ambayo anatakiwa kufanya hivi karibuni kwahivyo anatakiwa aepukane na mambo ya ulevi na madawa ya kulevya!
                                                                      By Lost-9fm

No comments: