Mtu mzima Chris Brown ambae kwasasa ana hit na ngoma yake inaojulikana kama "Look At Now" ambayo pia kwenye hiyo ngoma ameonesha uwezo wake wa ku rap yani inavyoelekea kama mshkaji anavipaji vingi kwasababu anajua kuimba Rn'B,Hip Hop na pia anacheza mbayaaaaa.... ukiachana na ngama yake ya look at me now ngoama nyingine ambayo inafanya vizuri ni Beautiful People. Check na jamaa katika freestyle uone
No comments:
Post a Comment