May 8, 2011

SHAROBARO NA VITUKO VYAKE....... AMSAIDIA PINDA KUJIBU MASWALI BUNGENI

Sikilizeni washikaji niwaambie kitu kilichotokea jana, ebana
Changudoa c akajipendekeza kwangu, unajua ilikuwaje?
CHANGUDOA:Anko samahani sura yako c ngeni machoni mwangu sikumbuki nishakuona wapi vile?
SHAROBARO:Itakuwa ni kwenye noti mpya meeeeeeen au kama co hapo basi itakuwa kwenye kipindi cha maswali na majibu Bungeni nikiwa namsaidia Pinda kujibu maswali ya papo kwa papo meeeeeeeeeen

Sharobaro akiwa mjengoni akitoa msaada wa majibu kwa Mh. Pinda
By Lost-9fm

1 comment:

Unknown said...

Huyu naye mmmmm makubwa, amekuwa twiga tena, haya bwana wapenda sifa