Apr 26, 2011

FID Q KUZINDUA KITABU CHAKE MWEZI WA NANE


Fareed kubanda anategemea kuachia kitabu ambacho amekipa jina la Swahili Kid (mtoto wa kiswahili) ikifika mwezi wa nane ambapo atakuwa akielezea na kushare experience yake kwenye game nzima ya muziki, tangu alipoanza mpka hivi sasa alipofikia.

1 comment:

Dj Lazzer5ive said...

kiukweli fid Q ni noma kichwa ambacho nakikubali sana kwenye hipt hiphop big up men and one day u'll reach ur dreams.