Apr 23, 2011

BILA MAPENZI KILA KITU HAKIENDI..........MAPENZI NOMA

Hebu niambie siku moja ukagombana na mpenzi, ama mke wako mkakaa wiki moja bila kusemeshana. Katika shughuli zako za kila siku ukarudi nyumbani ghafla na ukamkuta mpenzi/mke wako kajilaza kitandani kwa pozi kama hili, Hebu niambie nini kitatokea?

1 comment:

dj lazzer5ive said...

kama mimi namwambia tuachane na yaliyopita halafu nazama mzigoni